Uharibifu wa mazingira hi hatari kwa viumbe hai wote wategemeayo mazingira hayo..Epuka uharibifu wa mazingira kuepuka hatari mablimbali zinazoweza kuyakumba maisha ya binadamu na kurudisha nyuma maendeleo ya jamii tunayoishi.. Mazingira bora ni uhai wa binadamu na uchumi wa nchi
No comments:
Post a Comment